iqna

IQNA

korea kusini
Waislamu Korea Kusini
IQNA - Daud Kim, msanii maarufu wa pop wa Korea Kusini na YouTuber ambaye alikubali Uislamu mnamo 2019, ameanza mradi wa kujenga msikiti huko Incheon, Korea Kusini.
Habari ID: 3478683    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/14

Hali ya Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Kundi la wanafunzi Waislamu wanaendelea kupigania haki yao ya kuwa na mahali pa ibada huko Daegu, Korea Kusini, huku kukiwa na unyanyasaji wa chuki dhidi ya Uislamu katika eneo hilo.
Habari ID: 3476923    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/27

Soko la 'Halal'
TEHRAN (IQNA) – Makampuni ya chakula ya Korea Kusini yanatilia maanani soko la 'Halal' katika nchi mbalimbali.
Habari ID: 3475411    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/22

TEHRAN (IQNA) – Korea Kusini imetangaza mpango wa kuzinduliwa televisheni itakayojulikana kama ‘Halal TV’ kwa lengo la kuwavutia watalii Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3473152    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/09

TEHRAN (IQNA) – Waislamu Korea Kusini wameamua kufungua misikiti yao Jumatano baada ya nchi hiyo kutoripoti maambukizi mapya ya corona au COVID-19 kwa siku ya tatu mfululizo.
Habari ID: 3472736    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/05

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Korea Kusini sasa wamerahisishiwa njia za kupata chakula halali kupitia aplikesheni ya simu za mkononi ijulikanyao kama Crave Halal ambayo pia ina tovuti ya intaneti.
Habari ID: 3471359    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/18

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitizia umuhimu wa kuendelezwa uhusiano imara na usioweza kuathiriwa na vikwazo na uhasama wa Marekani baina ya Iran na Korea Kusini.
Habari ID: 3470289    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/03